Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 375
Hii ndiyo tatizo la Watz. Nachanganikiwa vipi mkuu. weka hoja tujadiliNa Mimi natamani Nikuuzie Wazo ili Ubadilike kwani kwa mbali hivi naona kama vile unaelekea / unapona Kudata (Kuchanganyikiwa ) fulani hivi.
Chizi lenyewe sasa limefika 🙃🙃🙃Na Mimi natamani Nikuuzie Wazo ili Ubadilike kwani kwa mbali hivi naona kama vile unaelekea / unapona Kudata (Kuchanganyikiwa ) fulani hivi.
Umetumia nguvu nyingi sana boss kuwakilisha hoja yakoNgoja tuboreshe Wazo lako Mkuu,
Tufanye hivi
Wewe uwe unadadavua vizuri
wazo la mtu katika hatua zote legit zinazotakiwa katika wazo hilo, Ama
Uwe una umba/unda vyema wazo la mtu katika mfumo sahihi(A well organized format)
Kwa Mfano Mo energy, Sayona Power, Azam energy, Jembe nk these are coloured plastics bottles na kuna changamoto ya mateja kutia mchanga humo Kwenye hizo ili kuongeza uzito pale watakapo pima, Sasa hio ni drawback kwa wale wanao nunua kutoka kwa mateja hence chupa zinakua hazina soko (as moja ya sababu) . So Ni nini wafanyaje ili ku'adress hio issue ya michanga
I think answering people's HOW is better than generating idea on behalf of them. Hasa kwa Wewe Bwana bendera kwa hio approach yako.
Kweli eeeh, Asante Sana.Umetumia nguvu nyingi sana boss kuwakilisha hoja yako
[emoji23][emoji23][emoji23]Na Mimi natamani Nikuuzie Wazo ili Ubadilike kwani kwa mbali hivi naona kama vile unaelekea / unapona Kudata (Kuchanganyikiwa ) fulani hivi.
Unajua tunatofautiana kimtazamo juu ya jambo/hoja fulani. Haijawahi wala haitakujakutokea watu wote wakakubaliana juu ya jambo moja. Na hiyo ndiyo maana wengine wanampinga mpaka Mungu.Umewaza vyema sana mkuu. Mwanzo ni mwanzo tu Nina Imani utakwenda unaboresha
Achana na majinga ma kina popoma hayo yanayopenda ku draw attention.
Bro, nashkuru kwa kunitia moyo. Mawazo mazuri nayachukua na kuyaboresha zaidi na critics nazichukulia kama challenges kwenye mpango wangu huu.Niko imaraMkuu usikate tamaa una kitu Cha ziada Tena special.
Mi kwa uzoefu wangu. Wazo ni kile watu wasichokiongelea ila wako site kukitekeleza. Ukiona unakiongelea ujue wenzio wako site.Ndg wana JF,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kuanzia leo nianzishe biashara ya kuuza mawazo kwa watanzania wenzangu pamoja na wageni juu nini mtu afanye for development sake.
Sasa nimeona sina budi nijiajiri ili niwe nawauzia bidhaa hii baada ya kufanya research na kuona watu wengi wana hela lakini hawana wazo sahihi wafanye biashara ipi ili kujitengenezea utajiri ama kipato cha ziada.
Bilionea raia wa China JACK MA aliwahi kusema "If you want to be rich do what the 99 percent don't.
Kwa mantiki hiyo basi ningependa anayehitaji nimuuzie wazo afanye nini kitu cha pekee ili apige hela anifaute PM. Kwa dokezo tu juu ya kukuonjesha machaguo ya nini ufanye ni kama ifuatavyo;
1. KUFUNGUA KAMPUNI YA KUOSHA MAITI(Omba tenda mahospitalini)
2.TENDA YA KUSUPPLY CHAKULA KWA MAHABUSU VITUO VYA POLISI(Fanya Mazungumzo na IGP, Wizara husika)Convising power needed
3. SHOE SHINER WA VIATU VYA WABUNGE PALE NJE YA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA.Waheshimiwa hawana muda hawa wa kujibrushia viatu( ANGALIZO: VAA VIZURI PIGA ULIMI(TAI) WEKA BENCHI LA KUSUBILIA WATEJA KAMA LA CRDB, NMB WHATEVER THE CASE ILIMRADI LIWE SMART, WEKA MAJARIDA YA KIMATAIFA KWA AJILI YA WATEJA KIPITISHA MACHO...
5...…
The list continues as far as you contact me for bznez conversations
MY OFFER: Tshs.50,000/-Kwa wazo
50 Dollars for foreigners.
ANGALIZO: Wenye comment za kichawi hapa hamna nafasi, hii ni biashara ,tusiharibiane biashara hapa ala...
Waweza kuwa sahihi kwa unachosema una uzoefu nacho lkn kwa upande wangu najaribu 'kustik' kwenye mambo ambayo hayafanyiki ama hayafikiliwi na watu wengi kuyafanya that's itMi kwa uzoefu wangu. Wazo ni kile watu wasichokiongelea ila wako site kukitekeleza. Ukiona unakiongelea ujue wenzio wako site.
Ushauri wako no mzuri, ila nikukumbushe tu kuwa si kila wazo ninalokuwa nalo nilazima nilifanye. Kikubwa nalifanyia research ili nipate uhakika kuwa je ni practicable?. Unajua ni lazima katika utatatibu wa uanzishaji wa jambo kuna Idea initiator lkn si lazima huyo huyo awe idea executer na hilo linaathiriwa na sababu kadhaa ikiwemo mazingira, mitaji n.kUpo vinzur broo,,
But ww ulishawah kufanya hayo mawazo unayotaka kuwauzia wezio na ukaona yanalipa(survey, field and practice)
Au ndo unataka kutake wezio kama sample ya majaribio yko.
Alafu kingine unamafanikio gn kutokana na hizo project maana usije ukawa motivators ambao wanahubiri mtu akalime nyanya, tikiki wakat yeye ajawahi kuingia shamba kufanya hiyo shughuli.
Ni ngumu San kumuuzia hayo maarifa ngozi nyeusi bila kuona Kwa macho matokeo ya hayo mawazo yko.