Nauza mashine ya kucha bei kitonga 80k tu

Bei sio poa mzee! Ingekuwa ya kuchaji ningekuungisha kama hiyo nimenunua last week.. nasisitiza hiyo bei sio poa labda wewe ulipigwa wakati wa kununua.
 
Bei sio poa mzee! Ingekuwa ya kuchaji ningekuungisha kama hiyo nimenunua last week.. nasisitiza hiyo bei sio poa labda wewe ulipigwa wakati wa kununua.
Dukani inauzwa 120k mkuu, ila maelewano pia yapo mana ina miezi mitatu tu tangu inunuliwe
 
Kariakoo mkuu
  • Je wewe ni mgeni wa bei za kariakoo?
  • Ni kawaida kitu cha 4,500, kuambiwa TZS 25,000 kisha unaulizwa wewe unatoa ngapi Boss? (Winga kama Winga katika Moja Na mbili ili riziki ipatikane)
 
  • Je wewe ni mgeni wa bei za kariakoo?
  • Ni kawaida kitu cha 4,500, kuambiwa TZS 25,000 kisha unaulizwa wewe unatoa ngapi Boss? (Winga kama Winga katika Moja Na mbili ili riziki ipatikane)
Sidhani kama jamaa anasema kweli! Ila kama ni kweli wamempiga vibaya mno!
 
Hii yangu nimenunua mtaa wa mchikichi 45,000/- bila bargain! Halafu muuzaji kwenye hili duka huwa anachukia kutoka maduka mengine halafu anauzia kwake yani anapata cha juu kwa sababu ana wateja wengi mno asubuhi watengeneza kucha wanajaa dukani kwake!
 
Machine ya inayotunza chaji niliulizia duka moja hivi kinyerezi ni 70,000/- sasa wewe kwa bei hiyo mzee tena umepata ya kuchomeka kwenye socket!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…