Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 391
- 685
Contact 0620813101 karibuni
Dukani inauzwa 120k mkuu, ila maelewano pia yapo mana ina miezi mitatu tu tangu inunuliweBei sio poa mzee! Ingekuwa ya kuchaji ningekuungisha kama hiyo nimenunua last week.. nasisitiza hiyo bei sio poa labda wewe ulipigwa wakati wa kununua.
Kariakoo mkuuWapi huko wanauza 120k?
Kariakoo mkuu
Sidhani kama jamaa anasema kweli! Ila kama ni kweli wamempiga vibaya mno!
- Je wewe ni mgeni wa bei za kariakoo?
- Ni kawaida kitu cha 4,500, kuambiwa TZS 25,000 kisha unaulizwa wewe unatoa ngapi Boss? (Winga kama Winga katika Moja Na mbili ili riziki ipatikane)
Unavyo kuja ndiyo tunavyo kupokea..Machine ya inayotunza chaji niliulizia duka moja hivi kinyerezi ni 70,000/- sasa wewe kwa bei hiyo mzee tena umepata ya kuchomeka kwenye socket!
Inang'oa bila ganzi!mashine kucha inafanyaje kazi?