Nauza gari, mark 2 grande gx 110
Eng vvti-beams
Bei milioni 6.9
Inapatikana Kimara Mwisho
Kwa mawasiliano ni pm namba yangu imefungiwa na nida
Gari Ni yangu hakuna udalali
Jombaa RRONDO hujambo.
Aisee umeona dashboard ya hiyo gari hapo kwa dereva. Navojua handbrake inakuaga pembeni hapo ya gearbox. Mbona siioni?
Halafu hii ni gari ya pili sioni handbrake.
Ni kwamba kuna gari zingine hazina handbrake ama handbrake zake ziko sehemu nyingine tofauti na hapo kati kati ya siti za mbele?
Kapena,
Hii ina footbrake kama Mercedes Benz. Iko chini kushoto pembeni ya brake pedal. Unaikanyaga to engage,kuitoa unavuta kuna button kwenye dashboard upande wa kushoto wa usukani.