Nauza Majeneza 50 Kwa Jumla.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Nina Ofis Yangu Hapa Morogoro Karibu Na Hospitali Ya Mkoa! Kutokana Na Usimamiz Mbovu Na Nahama Kikaz Nataka Kuhusu Huo Mzigo Wote!! Inshort Nakuuzia Biashara Nzima Maana Nimelipa Na Kodi Ya Miez 6 Inaisha Mwezi Wa 8!! Hiyo Sitakudai!
Yote Kwa Pamoja Tshs 5,000,000/=. Maelewano yapo
Maulizo: 0712988560
Karibun.
 
Mzama chumvini unauza na vya ndani? Kitand ,godoro geni etc au unapandisha kwenye treni mpaka kigoma?
 
Dah biashara nyingine unakosana na binadam...ni ngumu kuweka hadharan kuwa biashara yako ni kuuza/kutengeneza ...hiyo kitu....ni mtizamo wangu tu lakin
 
Sabakher Wadau;
Nina Ofis Yangu Hapa Morogoro Karibu Na Hospitali Ya Mkoa! Kutokana Na Usimamiz Mbovu Na Nahama Kikaz Nataka Kuhusu Huo Mzigo Wote!! Inshort Nakuuzia Biashara Nzima Maana Nimelipa Na Kodi Ya Miez 6 Inaisha Mwezi Wa 8!! Hiyo Sitakudai!
Yote Kwa Pamoja Tshs 5,000,000/=. Maelewano yapo
Maulizo: 0712988560
Karibun.
Hii biashara ndiyo unaenda kuanzisha Kigoma?
 
Aiseee hii biashara yahitaji moyo maana ipo siku watachukua hapo wakuzoke wewe pia
 
Hayo majeneza usiyauze kabisa. Yapakize kwenye treni na utakapofika kigoma huwezi jua yanaweza kukusaidia siku za usoni.
 
Sabakher Wadau;
Nina Ofis Yangu Hapa Morogoro Karibu Na Hospitali Ya Mkoa! Kutokana Na Usimamiz Mbovu Na Nahama Kikaz Nataka Kuhusu Huo Mzigo Wote!! Inshort Nakuuzia Biashara Nzima Maana Nimelipa Na Kodi Ya Miez 6 Inaisha Mwezi Wa 8!! Hiyo Sitakudai!
Yote Kwa Pamoja Tshs 5,000,000/=. Maelewano yapo
Maulizo: 0712988560
Karibun.
Mzamwa Nchumvini Mura wacha Tu hayo Majeneza Utatumia wee na Ndugu zako Baadae Kuliko kutengeneza tengeneza Mkifa.
 
Watu hawa humwomba Mungu awabariki katika biashara zao.
Baraka hizo lazima ziongeze vifo vya watu jirani na ofisi ya biashara hiyo.
Halafu ukinunua anakwambia "karibu tena"
 
Sabakher Wadau;
Nina Ofis Yangu Hapa Morogoro Karibu Na Hospitali Ya Mkoa! Kutokana Na Usimamiz Mbovu Na Nahama Kikaz Nataka Kuhusu Huo Mzigo Wote!! Inshort Nakuuzia Biashara Nzima Maana Nimelipa Na Kodi Ya Miez 6 Inaisha Mwezi Wa 8!! Hiyo Sitakudai!
Yote Kwa Pamoja Tshs 5,000,000/=. Maelewano yapo
Maulizo: 0712988560
Karibun.
5,000,000/50
=100,000 kwa kila Jeneza, na akati bei ya rejareja ni alfu 30
 
Back
Top Bottom