Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,485
Salamu kwenu nyote
Nauza nazi kwa bei ya jumla, Tshs 400 kwa nazi Moja
Minimum package ni nazi 250.
Napatikana Tanga (Muheza), Hivyo basi nakuletea nazi hadi stendi ya Muheza.(Hapa utachangia 5,000 tu)
Payment ni baada ya kuufunga mzigo na wewe (Mtu wako yeyote unaemwamini) kuukagua.
Mzigo pia unatumwa kwa mikoa ifuatayo Dar, Morogoro, Singida, KLM (Moshi tu)
Kwa mawasiliano zaidi 0716781536