AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
Punguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia, lakini pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kabisaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza Dar, ingiza Mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 ungaWandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50 , Kila GUNIA nauza tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wakunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka , shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox
Unataka nikusafirishie Mkuu!?Kuzisafirisha hadi Dodoma sh ngapi??
Hii ni bei ya hivi karibuni ya soko au !?Soko la Kibaigwa gunia ni 120k
Nimeulizia naambiwa ndio kwanza yanazidi kushuka beiPunguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia ,, lkn pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kbsaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza dar,ingiza mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 unga
Ndiyo mkuuHii ni bei ya hivi karibuni ya soko au !?
Dodoma bei zipoje kwa sasa?Kuzisafirisha hadi Dodoma sh ngapi??
ni mkoa gani hapo mkuu?Soko la Kibaigwa gunia ni 120k
Dodomani mkoa gani hapo mkuu?
Unaonaje awe anapika kabisa ugali awe anauza ugaliPunguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia, lakini pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kabisaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza Dar, ingiza Mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 unga
Bora umemwambia mfanyabiashara wa kutype huyuUnaonaje awe anapika kabisa ugali awe anauza ugali
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app