macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,188
- 60,061
Ni kweli. Ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue hana uwezo wa kununua. Na kama atajikamua sana akilinunua (kwa ujinga) baada ya mwezi atalitelekeza.Mkuu wanunuzi wa haya magari huwa hawaulizi hilo swali.
vipi mkuu ulaji wake wa mafuta upoje?
Niliona Range Rover (Be forward) bei CIF 2,200USD ila 46000cc kidogo nijilipue kwa kutaka sifa kwa mademu ila nashukuru akili iliporud nikakaa sawaNi kweli. Ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue hana uwezo wa kununua. Na kama atajikamua sana akilinunua (kwa ujinga) baada ya mwezi atalitelekeza. Nakumbuka watu walipoanza kuingiza magari used kutoka Japan miaka ya mwanzo ni watu wengi waliingia mkenge wa kununua ma-benz na range rover bila kujua kazi si kununua bali kazi ni gharama za uendashaji. Jamaa yangu alinunua m-benzi wake baada ya mwezi ukamshinda. Ulikuwa unakunywa mafuta kama ngamia anavyomeza maji. Bado spea zake nazo zilikuwa bei juu.
TRA calculator walionyesha wangenichanja 15m Tshskuileta mpaka bongo ilikuwa kiasi gani??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] angalia hizo cc we ndezi.vipi mkuu ulaji wake wa mafuta upoje?
46000cc hata meli haina hizo.Niliona Range Rover (Be forward) bei CIF 2,200USD ila 46000cc kidogo nijilipue kwa kutaka sifa kwa mademu ila nashukuru akili iliporud nikakaa sawa
Mbona nzee sana!•2010 Model Year With All Options of Autobiography
•Recently registered no.T….EAB
•Fully Paid Import and Customs Duty
•Imported From UK with European standards
•Grey Sapphire Color
•TDV8 Diesel Engine With 3.8CC Engine Capacity
•Autobiography Full Options SE Version
Full Leather Seats, Stone massage seats, Rear AC Vent, Cool Box and Open Sunroof
•Very Low Mileage 75,122miles (120,000 kilometres)
*PRICE IS 80 MILLION TSHS NEGOTIABLE *
Contact 0755312233
Hiyo ist maana yake ina 1.33.8cc engine capacity kiaje mzee sijaelewa mbona IST ya jirani yangu ina cc 1300😬😬
That means ina Cc 3800😳😳Hiyo ist maana yake ina 1.3
Hajui tofauti ya CC na Litres3.8cc engine capacity kiaje mzee sijaelewa mbona IST ya jirani yangu ina cc 1300[emoji51][emoji51]
Kwa diesel ni sawaThat means ina Cc 3800😳😳
Hilo dude linakunywa Mafuta pamoja na Damu ndio maana hayako mengi😂😂