Mkuu Kitomai, unakaribishwa pia hapa http://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
unaweza kulike page na kupost Tangazo lako, wadau wengi wa magari wanapatikana hapo.
Karibu Mkuu!
gari nyingi mnauza zina excemption tax.izo kulipia upya kwa mnunuzi mpya inakuwa balaa.hasa pale inapotokea tatizo na unataka ulipwe na insurance company.inakuwa shida mpaka tena umtafute owner.
vip gar yako?
1998 model, automatic, 1G Pearly White, Petrol, 159698km, It was first registered in TZ in 25/03/11. Was imported from Japan. Fixed Price 5.5mil. Can be seen in Upanga by appointment. Call Mr Kitomai 0717114409 or 0755312233
jamaa ameweka taarifa zote muhimu, kazi kwenu wanunuzi,
labda tuanzie hapa mkuu haina tatizo lolote? na je sababu za kuuza ni nini? je unamhakikishia nini mnunuzi baada ya kununua?