Nauza mafuta ya alizeti

Nauza mafuta ya alizeti

chibe dayo

Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
58
Reaction score
55
Habari wanajamvi!
Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
 
Sawa kiongozi, nakushauri fanya utafiti wa bei, kwa bei hiyo kwa Lita ni ghali sana ukilinganisha na mahala kama Dodoma ambako nina uhakika wanauza TZS 5,000 kwa reja reja wakati kwa jumla wanauza hadi 4,750 kwa lita 20 na kuendelea. Nazungumza kitu ambacho nina uhakika nacho, nimenunua hivyo tarehe 02/08/2025!!

Angalizo sina lengo la kukuharibia biashara Mkuu wangu!!
 
Saw Asante japo nmeweka punguzo zaid kwa mteja atayechkua mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom