Nauza madini ya rubi

Nauza madini ya rubi

babacareeni

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
 
Duh. Biashara ya madini ilivyojaa utapeli. Hutupati hapa
 
inategemea una ruby aina gani na ni ya wapi kqa maana imetoka sehemu gani? kingine hiyo ruby ina ubora gani high caboshon au low caboshon au unayo ruby semi ge...fafanua zaidi nikupe msaada wa wapI kuuza mkuu
 
Nafikiri inauzwa kwa kilo au debe.
zipi ruby ambazo zinauzwa kwa bei ya gram mpaka kg hiyo ndo high caboshon...alafu ipo ruby yenye ubora unao uzwa kwa grm ambayo ukiwa na jiwe la grm 2 tu..ni milions of money...mkuu
 
Back
Top Bottom