Nauza Madini ya johari

Nauza Madini ya johari

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu,

Nani anafahamu wapi naweza kuuza madini ya Johari kwa bei nzuri? kama unawajuwa wanaonunua tafadhari nielekeze.

Thanks
 
kuna madini ya lulu
wewe una madini ya johari
Diamond naye ana madini ya wema
 
hiyo inapatikana kwa matumbo ya samaki....ni jamii kama ya sea pearl (lulu)
 
weka AKA yake.... Also Known As....... kwenye matangazo inabidi uwe as specific as possible usiache mtu awe na maswali
 
.. Fadhili Paulo na wasenegal ndiyo wananunua sana hiyo kitu johari, ni mawe ambayo yanapatikana kutoka kwa samaki wakubwa kama papa, nyangumi etc
haata ngombe wana mawe ambayo ni madini inaitwa galstone, na majoka makubwa pia wanayo hi kitu sasa yako hiyo imetoka wapi? nijibu chief
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom