kazikaz Member Joined Oct 8, 2016 Posts 39 Reaction score 31 Jun 2, 2017 #1 Nina magari matatu yote nauza nataka kuhama Tanzani so nauza bei poa gari zipo tatu zote Hino rainbo w Mbili ni namba C moja ni namba DDP BEI M 18 maongez yapo nataka niziuze fasta Karibuni My contacts 0672243892
Nina magari matatu yote nauza nataka kuhama Tanzani so nauza bei poa gari zipo tatu zote Hino rainbo w Mbili ni namba C moja ni namba DDP BEI M 18 maongez yapo nataka niziuze fasta Karibuni My contacts 0672243892
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,992 Reaction score 12,035 Jun 2, 2017 #2 Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii?
Mkulima2002 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2015 Posts 291 Reaction score 216 Jun 2, 2017 #3 ngoja waje...
kazikaz Member Joined Oct 8, 2016 Posts 39 Reaction score 31 Jun 2, 2017 Thread starter #4 N'yadikwa said: Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii? Click to expand... Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa
N'yadikwa said: Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii? Click to expand... Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,422 Reaction score 5,479 Jun 2, 2017 #5 Duhh, mkuu umevunja bei kweli. Washindwe wadau wenyewe tu
K kyata amato Member Joined Apr 7, 2017 Posts 61 Reaction score 22 Jun 2, 2017 #6 kazikaz said: Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa Click to expand... Wanakaa abiria wangapi mkuu?
kazikaz said: Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa Click to expand... Wanakaa abiria wangapi mkuu?
kazikaz Member Joined Oct 8, 2016 Posts 39 Reaction score 31 Jun 2, 2017 Thread starter #7 kyata amato said: Wanakaa abiria wangapi mkuu? Click to expand... Abiria ni 26 na sehem kubwa ya kusimama
kyata amato said: Wanakaa abiria wangapi mkuu? Click to expand... Abiria ni 26 na sehem kubwa ya kusimama
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Jun 3, 2017 #8 Mkuu mtu akitaka moja unampa?
Jalema JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 594 Reaction score 869 Jun 3, 2017 #9 Niuzie moja kwa mkataba wa miezi kumi na mbili ntakua nishakulipa pesa yako yote mkuu kila mwisho wa mwezi nakupa milion moja na laki nane
Niuzie moja kwa mkataba wa miezi kumi na mbili ntakua nishakulipa pesa yako yote mkuu kila mwisho wa mwezi nakupa milion moja na laki nane