Nauza machine ya kutengeneza chaki

Nauza machine ya kutengeneza chaki

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,504
Reaction score
848
Habari jamani, ninauza machine hiyo ni nzima imetumika sio zaidi ya mwaka. Ilinunuliwa SIDO Moshi kwasasa ipo Dar.
sababu ni kuwa ninashughuli nyingi ninakosa muda wa kusimamia hii biashara. Bei ni tsh 800,000 (laki nane tu)
 
Hii machine yako inapingana na Teknohama, Jaribu kwenda na wakati na bora uiweke stoo au uza kama chuma chakavu
 
naomba number yako ya simu,yangu ni 0716629432, kwa 400000/=huuzi?
 
Habari jamani, ninauza machine hiyo ni nzima imetumika sio zaidi ya mwaka. Ilinunuliwa SIDO Moshi kwasasa ipo Dar.
sababu ni kuwa ninashughuli nyingi ninakosa muda wa kusimamia hii biashara. Bei ni tsh 800,000 (laki nane tu)
Vip bado mashine ipo
 
iko fit kuna r inatengeza vizuri maana za sido majanga
 
Habari jamani, ninauza machine hiyo ni nzima imetumika sio zaidi ya mwaka. Ilinunuliwa SIDO Moshi kwasasa ipo Dar.
sababu ni kuwa ninashughuli nyingi ninakosa muda wa kusimamia hii biashara. Bei ni tsh 800,000 (laki nane tu)
Nichek Mkuu 0758502366
 
kaka bila picha hakuna bishara, madalali wenyewe wanaweka picha wewe vip
 
Back
Top Bottom