Nauza line ya tigo pesa na fax machine

Nauza line ya tigo pesa na fax machine

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,011
Reaction score
2,049
Habari wanajf,kichwa cha habari kinahusika!Nauza line ya tigo pesa kwa tsh 700,000/(laki 7) tu.Na fax machine kwa laki 9 tu,aina ni samsung.Waweza kutumia kwa kutuma fax na photocopy machine.NIPO DSM NAMBA NI 0756587175.wote mnakaribishwa.Waweza kupata picha kwa whatsapp.
If you're not interested POTEZEA.
 
punguza kidogo kuna jamaa alikua anuza kwa mawe nne hapa hiyo tigopesa

Bei ya mali yoyote inategemea facts nyingi sn km uliinunua sh ngapi?Kuna wengine walipewa km zawad,unaweza ukawa umeokota,waweza kuwa na shida sn km maradhi,msiba n.k,Hali hiyo yaweza kukufanya mali ya laki 8 kuuza hata kwa laki 5!
 
Habari wanajf,kichwa cha habari kinahusika!Nauza line ya tigo pesa kwa tsh 700,000/(laki 7) tu.Na fax machine kwa laki 9 tu,aina ni samsung.Waweza kutumia kwa kutuma fax na photocopy machine.NIPO DSM NAMBA NI 0756587175.wote mnakaribishwa.Waweza kupata picha kwa whatsapp.
If you're not interested POTEZEA.
Samsung wana model nyingi za fax machine yako ni ipi?
 
Samsung wana model nyingi za fax machine yako ni ipi?

Nitakupa jibu baadae nikirud home.Nimeletewa toka russia hv karibun so cjaipekua zaid ya kuitest km inapga mzigo
 
Naitaka hiyo line ya TIGO nitakupataje unipe?
 
Wakuu sioni haja ya kunipm wakat kila kitu nimeweka.If you're interested plz call 0756 587175.tufanye biashara
 
Wakuu mali bado znapatikana na maelewano yapo kidogo.WOTE MNAKARIBISHWA
 
Back
Top Bottom