Nauza Landrover 110 Pickup

Ahmad Mussa

Member
Oct 21, 2011
46
19
Haipo katika hali mzuri kwani Iligonga mti na kuharibika show ya mbele kioo na Rejeta
Sio Pickup Original Lakini imekatwa kwa ustadi Mkubwa sana na kuwa Pickup,
Engine ni Petrol main 3, Ina Distributor ya 'magneto'

Inatembea kwani iligonga mti Msituni umbali wa Km 64 kutoka kijijini Nanjilinji, Iliweza kufika
Yenyewe Lakini kwa rejeta ya Kuazima Inahitaji kunyooshwa kwa mbele, Rejeta na kioo cha
Mbele.

Bei ni mil 3 hakuna maongezi ya Bei.

IMG00081.jpg


PICHA KABLA YA KUGONGA MTI SIMU:
0778012287
0758469333
 
Sasa chief Tuna nunua tairi au gari....weka picha za saiv zinazo onyesha Tatzo na pande zote za gari ...pia Tumia camera nzuri... izo sijui ume tumia ya cm ya batani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom