Nauza Lamborghin Gullardo

humu ndani kumbe kuna watu wana mambo....wanapenda ujiko.....dogo kaumbuliwa kakimbia.....
 
Ushauri wa bure:
Usibadiri ID kwasababu umekuwa maarufu mno! Kuwa supar star sio lazima ufanye makubwa hata ukionyesha ujinga wako tu.
 
jamani hivi JF imekuwa na watoto wengi kiasi hiki mpaka wanafanya hii michezo yao ya kitoto hapa. naomba apigwe ban tafadhali ili liwe fundisho na kwa wengine
 
OK Leta hapa moshi. EEE aaaah Account yako number wapi baba?
 
hamna biashara analeta burudani tu! asante kwa kutushtua moyo na kututengenezea wikend safiii!
 
Cc 6000, nimetumia 1 year and niya 2009 and bei ni 1.9 billion for more details email me on emilrama@gmail.com
Mkuu taratibu Mkuu wangu.

Worst case scenario una maana hiyo gari FoB ni kama $ 450,000.

Sasa hii si kweli sababu ya facts zifuatazo:

Hii ni $ 138,443 ya 2004




Hii ni $ 151,290 ya 2004


Hii ni $ 179,812 ya 2002



 
KHA!! barabara ipi tunapita? sevisi wapi? vipi mafuta ya oilcom yanakubali?
 
Mkuu taratibu Mkuu wangu.

Worst case scenario una maana hiyo gari FoB ni kama $ 450,000.

Sasa hii si kweli sababu ya facts zifuatazo:

Hii ni $ 138,443 ya 2004



Hii ni $ 151,290 ya 2004


Hii ni $ 179,812 ya 2002




aminia mkali, B.E.N.Z yetu bado iko?
 
Namba zake ni T....ARY alafu iwe ni model ya 2009 dah Sijui. Alafu wewe uliingiza mwaka gani?
ARY ni registration ya 2007 nafkiri. labda typing error atarudi ku-edit. but hongera kwa kutembelea gari la mabilioni na cc 6000.hiyo tu ni heshima!
 

nikweli kaka zipo zakichina, kila kitu ni hicho hicho, si unajua wachina hawashindwi ki2.
 
Idumu JF!

 
Gallardo ninavyoifahamu ni fupi kidogo from front to back,hiyo ndefu itakuwa jina lingine,pia inakuwaje ulinunua bei ndogo(uliyopigwa) alafu uuze bei mbaya hivyo?
 
Hahahaa, hawa watoto wetu sku hizi wanatamani sana vitu vya kwenye tv, ndy maana mabwabwa wameongezeka! Wew unafkir mtoto kama huyu akikutana na mende anataka kumpiga mashine ampe hata vitz atakataa? hahahahaa:A S 13:

qaqa umenifurahisha sana, na kwa swali lako hawezi kukataa kupigwa miti huyo kisa vitz. Hahahaha.....
 
Kumbe mnamjua.Au dalali
 
Oya kama dalali mwenye uwakika mashine hii hapa nauza
iko njiani na mungu akipenda mda si mrefu itakuwa Tza narudia uwe na uwakika na kazi yako stor mbwembwe sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…