NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,020
Mkuu samahani naomba unipe maelekezo kidg namna yakupata laini ikiwa na umiliki halali kupitia tin namba msaada wako tafadhari
Yan nishindwe kwenda kukata TIN niwe na laini yenye umiliki halali ninunue kwa mtu wala siwezi