tsh NGAPI boss line ya tigo?????Nauza laini za uwakala za Tigo pesa na airtel money. Bei ni sawa na bure. kwa maelezo zaidi nicheki kupitia # 0738 587757
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani laini unauza bei ya gari... Kha milioni 35 mbona nyingi sana
Amesema bei ni sawa na bure. Kazi kwako kujua bure ni shingapi...tsh NGAPI boss line ya tigo?????
Kwahiyo siku hizi laki moja ndo sawa na bure?ya tigo 120 mwisho 100
Sasa kwanini unaiuza?ni halali boss wangu
Kila la kheri swahiba. Ila siijui faida ya hii biashara ikoje. Unaweza kunufafanulia nikiona inalipa nizichukue zote fasta?shida tyu zina niandama kaka, na waswahili wanasema kimfaa chomtu ni chake
kulipa kwa biashara hii kunatokana na idadi ya miamala unayo fanya ndaniya siku,kama wateja wako wataeka na kutoa hela mara nyngi kwa siku ndyvy ww unavy zidi kutengeneza commisions nzuri (kubwa)Kila la kheri swahiba. Ila siijui faida ya hii biashara ikoje. Unaweza kunufafanulia nikiona inalipa nizichukue zote fasta?
Kwa mfano nimefanya muamala wa milioni mbili. Milioni moja kuweka na moja kutoa. Commission inakuwa kiasi gani hapo?kulipa kwa biashara hii kunatokana na idadi ya miamala unayo fanya ndaniya siku,kama wateja wako wataeka na kutoa hela mara nyngi kwa siku ndyvy ww unavy zidi kutengeneza commisions nzuri (kubwa)