Nauza kuku wa nyama-broiler

Improve customer care skills, kuwa tayari kudeal na watu wa aina tofauti bila kuchafua image yako kwenye biashara.
Come on kaka customer skills za mtu ambaye sio mtaarabu,wawe na heshima na kwa mtu anaeona nakosea atakuwa sio mwelewa...yeye kaona kuku bei hiyo ila kasema makusudi kunikatisha tamaa akihisi kuwa mimi sijui kitu nitashusha tu bei then atanitafuta now hilo umeliona?na nimemjibu accordingly kuwa biashara yangu ipoje so ajue na sio risk cse hawezi jua nauzia kina nani ila kama ukiongea ukaweka kauli sio na mm nitakujibu ipasavyo...ila ukiwa mstaarabu na mm nitakuwa hivyo,why sasa nijibu vibaya wakati hii ni biashara
 
WaTz tu watu wa ajabu sana! Kama sio mnunuzi ya nini kuharibu tangazo lisilokuhusu? Kwa mentality za aina hii kazi ipo!!
Na bado mtu anakuambia eti customer skills ila watu wanaaharibu tangazo alafu hata haja address hilo swala...sisi wote vijana tunatafuta hela ila watu wanakuwa wa ajabu sana badala kushauriana kupiga hatua ila mtu anaongea vitu tu vya kubomoa na moyoni unaona furaha una amani,ustaarabu hakuna na ndo mana hatuendelei.
 
Call a spade a spade. Yeye mwenyewe ndo anaharibu biashara yake. Ni kweli ana lugha mbovu. Soma thread nzima uone anavyojibu watu. Hana customer care hata kdg.
Ninaharibu biashara yangu as per your view,ila nimetoa tangazo ila mtu kaamua kuongea vibaya na wengine kunikatisha tamaa then you want me to bend over,sijakuona ukitoa comment ya watu walioanza ukorofi and what does that say about you?!usitetee mambo ya kijinga...kila mtu alienitumia text kiustaarabu nimemjibu vizuri ila unataka kuniharibia biashara in public alafu nikujibu okay get real wewe au cse wewe huna nothing to loose ndo mana unatetea
 
Kuanzia post #3 tu, ulianza kujibu ujinga ujinga, pasi kujibiwa ovyo.

Ukiwa mfanyabiashara kubali yote, dhihaka, utani, kukatishwa tamaa, na maneno yote, and u jst have to stay as calm as possible. Mteja ni kama mumeo tu, so ukija juu usimfuate juu, msubiri chini then msawazishe mambo. Be calm mkuu...!!! Lugha mbovu hazilipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom