Nauza kuku chotara na wakienyeji

Nauza kuku chotara na wakienyeji

Joined
Jul 27, 2016
Posts
49
Reaction score
14
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. kuku waliopo ni wakubwa uzito 2.5kg -3.5kg hawaugui ni wazima kabisa. bei ni sh 17000 kwa reja reja na kwa jumla sh 14000 karibuni nyote. mahali dodoma mjin area d, namba 0658706534 au 0714356444.
 
Back
Top Bottom