Nauza kiwanja Msoga, ni jirani na JK

Nauza kiwanja Msoga, ni jirani na JK

Aisee COMMENTs kibao za wanaUKAWA humu, aisee hiko Kiwanja chako kwakweli kikipata mteja NiPM nikupe hata zawadi ya Bia
 
Ni heka mbili utakuwa una_share mpaka na rais mstaafu ndugu JK na kama wote tulivyosikia kwamba rais akistaafu alisema atarudi Msoga kuendelea na kilimo.
Basi hii ni nafasi nzuri yako ndugu mtanzania mwenzangu kuwa na access ya moja kwa moja na JK in your daily basis na pia kuweza kufanya vitu vidogo kama kusalimiana na mheshimiwa kila asubuhi.
Kama uko interested niquote hapo chini

Afadhali ukiniambia kuna makaburi karibu na hicho kiwanja kuliko JK
 
Tena siku tcr@ walivyokuwa wanataka sifa haipiti siku 2 wanawapandisha watu mahakamani kwa kukiuka kanuni yao...

Hahaha,kuna watu wanazizoea kanuni zao wakiwa jela.
Aisee,tuwe makini sana,Sifa za Muda JF zinaku cost wewe na familia yako
 
hata mie angekuwa na kiwanja sehemu ingine ningenunua ila kwa mhe jk hata futi sitaki hata nikipewa bure sichukui
Huna kiwanja sehemu nyingine zaidi ya hiyo.........?.......nilikua nahitaji lakini hapo hapana........
 
Back
Top Bottom