Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
KIWANJA KINA UKUBWA WA MIGUU 22 KWA 20 NA KIKO SQUARE NA FLAT HAKUNA MREMKO. UMEME, MAJI NA BARABARA VIPO ENEO HILO KWA MAANA LIMEJENGEKA SANA NA WATU WANAISHI. UMBALI KUTOKA BARABARA YA BAGAMOYO PALE BUNJU B KITUONI MPAKA KIWANJANI NI CHINI YA KILOMETA 4 NA NJIA KUBWA YA KUENDEA HUKO IMETENGENEZWA NA SERIKALI, PIA IKO KWENYE MPANGO WA KUWEKWA LAMI.
KIWANJA HAKIJAPIMWA ILA KINA HATI YA SERIKALI YA MTAA.
TUWASILIANE KWA MAONGEZI 0683-796778 AU WHATSAPP 0628-615685 TUMIA SIMU, MARA NYINGI SITAWEZA KUJIBIA HAPA KUTOKANA NA KUTINGWA....KARIBUNI
KIWANJA HAKIJAPIMWA ILA KINA HATI YA SERIKALI YA MTAA.
TUWASILIANE KWA MAONGEZI 0683-796778 AU WHATSAPP 0628-615685 TUMIA SIMU, MARA NYINGI SITAWEZA KUJIBIA HAPA KUTOKANA NA KUTINGWA....KARIBUNI