Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,338
- 56,035
500Hatua 20 kwa 25 ni equivalent na sqm ngapi kwa ngapi.
500Hatua 20 kwa 25 ni equivalent na sqm ngapi kwa ngapi.
Mzee wa kataa ndoa em ntumie buku 2 apo chap ninunue tepu meja😎😎tape measure ni buku tu
nunua pima, uweke vipimo kwa meter
buku moja tu, ile ya kichina, buku 2 ni zile za AndikaMzee wa kataa ndoa em ntumie buku 2 apo chap ninunue tepu meja😎😎
"Miliki kiwanja kwa faida ya uzeeni"buku moja tu, ile ya kichina, buku 2 ni zile za Andika
unapima kisha unaitupa
nnacho kaduchu tu, 15mx13m
Sijambo Boss...Mtafutaji hujambo?
nicheki tuongee jamboNini tena Dogo?
La helanicheki tuongee jambo

😂haya, hata hilo basiLa hela![]()
Akikujibu naomba unitagi pleaseMkuu samahani!!!!
Hivi ndiyo vile viwanja vimepimwa ambavyo watu wanatakiwa kuvilipia tena ili kupata hati?
Hatua 20 kwa 25 ni equivalent na sqm ngapi kwa ngapi.