INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

Nauza kitanda changu(bila godoro) size ni 5*6 ni mbao ngumu. Nimenunua miezi 3 tu iliyopita kwa sh 170,000 mtu akija na 130k namuachia. Sina simu ya kupigia picha ila bado kipya,location kigamboni dar.

Hali imekuwa mbaya,itanisaidia wakati nasubiri hata kibarua(naamini nitapata soon kwa uwezo wa Mungu).

Kama sio mnunuzi sio lazima sana ucomment,you may want to reserve your ink for future use. ASANTENI NA KARIBUNI
Naomba nikushauri kitu japo umeshatoa angalizo
VITU VYA NDANI KAMWE HAVIUZWI KUTATUA MATATIZO!
Ukianza na kimoja hutaacha na matatizo hayatakwisha.. Ukiweza vuta subra kidogo...KUTAPAMBAZUKA...!!!
 
Naomba nikushauri kitu japo umeshatoa angalizo
VITU VYA NDANI KAMWE HAVIUZWI KUTATUA MATATIZO!
Ukianza na kimoja hutaacha na matatizo hayatakwisha.. Ukiweza vuta subra kidogo...KUTAPAMBAZUKA...!!!
Ni sawa mkuu na nimevumilia sasa hadi kula ni mtihani, nawezaje kusubiri tena bila kula? Inauma lakini ndio hivyo, naamini soon itakuwa sawa
 
Ni sawa mkuu na nimevumilia sasa hadi kula ni mtihani, nawezaje kusubiri tena bila kula? Inauma lakini ndio hivyo, naamini soon itakuwa sawa
Hili nalo litapita.. Utashangaa kitanda kinaweza kisiuzike na bado ukatoboa.. Mungu wetu daima hawezi kufunga milango yote.. Kuna mmoja atauacha wazi! Ni kutulia tu ili uweze kuuona!
Am sure ulishapitia changamoto zaidi ya hii lakini hebu kumbuka kila ulipofikia hatua ya mwisho ya kukata tamaa kuna jambo likatendeka bila kutarajia na ukapata chochote kitu...!
 
Asee mkuu Islam005 pole sana unahali mbaya kwl maana kuna uzi wako wa kutafuta kazi yyt tu ikusaidie kwakwl nakuombea kwa Mungu akusaidie maan kwa Hali hyo ya kuanza kuuza vitu daah haifai kwakwl
 
sio langi ni rangi. Pia nimeomba kwamba sina smartphone nashindwa kupiga picha ila bidhaa ni mpya na iko poa.
Asante kwa comment pia
Simu yoyote yenye uwezo wa kuingia jf basi pia ina camera na inatoa picha fresh, huwez kuingia jf na kitochi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom