Nauza kinu cha mashine ya kusaga

Nauza kinu cha mashine ya kusaga

nyirex

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Nauza kinu cha mashine ya kusaga, nilichongesha sido kwa ajiri ya kuanzisha biashara ya kusaga, sijawah kukitumia Kuna emergency nimeipata,, ambaye yupo interested anicheki

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duh umemaliza tangazo picha hamna bei hakuna hakuna hata taarifa kukihusu yaani ukubwa bro hutauza humu kwa hyo style
 
Back
Top Bottom