Nauza king'amuzi cha star times 40000 tsh

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,186
2,455
Habari za jumapili wakuu?Nina uza king'amuzi changu cha star time kwa bei tajwa hapo.Kipo vema kabisa ndo natumia kila siku!.Sababu ya kuuza nataka niongezee fedha ninunue kile cha TIN kuna local chanel ya MORNING STAR TELEVISION (YA WASABATO)Haipatikani kwenye star time.Niko Dar es salaam
 
Back
Top Bottom