Nauza Huawei U8650

Nauza Huawei U8650

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari wakuu....nauza simu yangu ya huawei model tajwa.....bei maelewano...simu ipo katka hal ya ubora n nzima kabisa..lengo la kuuza n kwamba natumia sony so sina haja na simu mbili...npo dsm.ni p.m number yako kwa mahitaji.
 
Back
Top Bottom