Poxino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 727
- 53
ushauza? kwa 280 inawezekanaWadau changamkieni mzigo huu nahitaji pesa iyo haraka
mzigo bado upo wadau karibun
Betri iko poa ? na spec zake zikoje bas ili seller apate urahis au weka ata model no..... na picha siku nyingne unapga mbele na nyuma yan cm yote... il mteja ajilidhshe...
Poa mkuu betri iko poa mkuu mzigo orginal unaukagua ukilizika tunafanya biashara mkuu