Nauza haraka samsung galax 3 orginal bei poa

Nauza haraka samsung galax 3 orginal bei poa

Ni PM nina 200k Cash.
Hiyobei ni pamoja nasimu uliyonayo aka???techno wanakusanya huwa... Unaongeza nabuku 50 nikana usikosebahati kama unayako unaongezea kwahiyobei. o pox aangalieq
 
hiyo njia huwezi tambua maana hata za mchina zinakubali. Ukitaka kutambua kama ni original we piga *#0011# itakuja service mode

sent from my blackberry 9810 using jamiiforums

[www.imei.info]
hapo utaweza kujua simu yako ni original ama fake
 
Wala usipate tabu siuzi simu hisiyo original utaingiza namba zako zote isipo kua original usinunue
 
Jmn naomba hileweke ivi mini pm kwa 250,000 fixed price ni 280,000
 
Haaaaa haaaa upo vizuri sana ila tatizo mkuu CHEZENI usumbufu mkubwa kwa badae
 
Hiyobei ni pamoja nasimu uliyonayo aka???techno wanakusanya huwa... Unaongeza nabuku 50 nikana usikosebahati kama unayako unaongezea kwahiyobei. o pox aangalieq

haaaaaa dippy ajie tichon gnyu nai samuni kubywa ziadu huio swuinmg yakuy.
 
mkuu pdidy sijakulewa nileweshe vizuri
happy newyr mpwa..nimeona kaandika ana 200 nkamuuliza akikulipa anakuachia nasimu anayotumia ama??wote wapwawangu amshindani bei bana akikomaa sana p kwa 200 akupe naile techno yake theethee
 
Mzigo bado upo wadau karibun sana
 
Back
Top Bottom