Nauza gari yangu toyota opa

Nauza gari yangu toyota opa

Elly official

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
767
Reaction score
1,038
Guys mwenye kuhitaji usafiri kwa bei ya chee. Gari ipo musoma mjini, unaweza kunitafuta kwa namba 0782183441
Gari nauza kwa tsh 3,500,000/= fixed, hakuna maelewano. Gari inatembea haina tatizo lolote, njoo na fundi wako akague gari. Document zote zipo fresh. Gari ni yangu mimi mwenyewe hakuna dalali.
IMG_20190407_145819.jpeg
IMG_20190407_145829.jpeg
IMG_20190407_145810.jpeg
IMG_20180729_175629.jpeg
IMG_20180729_175621.jpeg
IMG_20180729_090247.jpeg
IMG_20180729_175609.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
namba B mkuu use serious basi kama unayo D weka picha hapa nakuja sasa hivi niko serengeti

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Hii ndinga ikipelekwa DSM kwa wazee wa kupimp ikanyoonshwa bodi,ikarudiwa rangi, ikasogezwa kwa wazee wa kupiga detail na kusafisha injini,ikaamia kwa wanangu wa seat covers kali ,Dicksound akamaliza mchezo wa ream na sound konk aisee [emoji119][emoji119]

Ila andaa 3 M tena hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari ilinoki engine natoka bukoba so nliagiza engine mpya nikaweka so usiogope sana kuona namba B gari ipo vzuri sana. naiuza kwa vile mm nina gari ingine so haina maana kuwa nazo mbili
 
Hii ndinga ikipelekwa DSM kwa wazee wa kupimp ikanyoonshwa bodi,ikarudiwa rangi, ikasogezwa kwa wazee wa kupiga detail na kusafisha injini,ikaamia kwa wanangu wa seat covers kali ,Dicksound akamaliza mchezo wa ream na sound konk aisee [emoji119][emoji119]

Ila andaa 3 M tena hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo magari huku Dar es Salaam hayapo tena
 
Guys mwenye kuhitaji usafiri kwa bei ya chee. Gari ipo musoma mjini, unaweza kunitafuta kwa namba 0782183441
Gari nauza kwa tsh 3,500,000/= fixed, hakuna maelewano. Gari inatembea haina tatizo lolote, njoo na fundi wako akague gari. Document zote zipo fresh. Gari ni yangu mimi mwenyewe hakuna dalali.View attachment 1066452View attachment 1066453View attachment 1066454View attachment 1066458View attachment 1066459View attachment 1066460View attachment 1066461

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilete huku utangaze nasi bure https://chat.whatsapp.com/FWdE25cZuWfEN0DtaBOL96
 
namba B mkuu use serious basi kama unayo D weka picha hapa nakuja sasa hivi niko serengeti

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
We unanunua gari ama namba, actually wenye hela washainunua, wewe huna uwezo wa kuwa na gari kaka, labda bodaboda ya laki nane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom