Nauza gari Toyota Nadia

Nauza gari Toyota Nadia

Sanyondo

New Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Nauza gari aina ya Toyota Nadia ya mwaka 2000. Gari ni zuri kabisa - karibu na jipya - halina tatizo lolote na rangi yake ni nyeupe inayoenda kwenye rangi ya maziwa. Ina eight CD changer na liko bomba kabisa. Bei inaanzia shilingi milioni 12. Yeyote anayehitaji awasiliane nami kwenye namba 0754 304199
 
Sawa mkuu kama liko bomba tuambie limeshatembea km.ngapi? Na injini yake ni ya aina gani? Na gari liko mkoa gani? Halafu tuanze kutafakari kuanzia hapo.
 
nadia model gani? Ile ya zamani yumba ndogo model au type su?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom