Nauza gari Suzuki Vitara kwa bei safi kabisa.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Gari ipo katika hali nzuri sana(see picha).
Insurance yake ni compressive.
Bei: inaanzia 7ML ila inapungua.
Just PM me kwa maelezo zaidi.

New Image2.JPG New Image.JPG
 


Short chesesi kitaa jamaa mpaka 4.5M wanachukua

Bora uangalie mara mbili bei hiyo.
 
unapoweka tangazo la kuuza gari zingatia kutaja mwaka wa gari, engene model na picha ya ndani ya gari, some na kilometres ngapi imeshatembea? ingawa kilometres sio muhimu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom