Nauza gari aina ya land cruser hard top

Nauza gari aina ya land cruser hard top

chalii wa ara

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
1,089
Reaction score
1,026
Make: Toyota
Model: land cruser hard top
Year: 2003
Maelezo ya ziada: Ilikuwa inafanya kazi benki ya crdb so baada ya kuinunua imepata no mpya za usajili ambayo ni crb
Bei ni milion 47 maelewano yapo
 
Kwani magari ya CRDB uwa yana namba za serikali au binafsi kaka. Hapo sijaelewa kabisa. Ninachofahamu Crdb ni kampuni ya umma na magari yake yanasajiliwa na namba binafsi
 
Kwani magari ya CRDB uwa yana namba za serikali au binafsi kaka. Hapo sijaelewa kabisa. Ninachofahamu Crdb ni kampuni ya umma na magari yake yanasajiliwa na namba binafsi

Amekuondoa hofu namba inaanza na crd na usipoiona mpya usishangae sana mpandie akurushie kwa whatsaap
 
Kwani magari ya CRDB uwa yana namba za serikali au binafsi kaka. Hapo sijaelewa kabisa. Ninachofahamu Crdb ni kampuni ya umma na magari yake yanasajiliwa na namba binafsi



Ni hiv mkuu baada ya ununuzi kuna taratibu ambazo hufuatwa kwa ajili ya umilikishwaji wa gari hapo ndipo na mo usjili hubadilishwa kutoka kwa uma kwenda kwa mtu binafsi na ndyo maana ukaona,mabadiliko ya no

Hope nimeeleweka mkuu
 
1393346281463.jpg
 
1393346480120.jpg haya jamn picha hizi hapa
 

Attachments

  • 1393346329333.jpg
    1393346329333.jpg
    77.6 KB · Views: 258
  • 1393346350683.jpg
    1393346350683.jpg
    67 KB · Views: 249
  • 1393346373365.jpg
    1393346373365.jpg
    43.7 KB · Views: 307
  • 1393346401695.jpg
    1393346401695.jpg
    48 KB · Views: 235
  • 1393346420405.jpg
    1393346420405.jpg
    58.3 KB · Views: 234
  • 1393346438803.jpg
    1393346438803.jpg
    75.8 KB · Views: 232
  • 1393346460388.jpg
    1393346460388.jpg
    45.4 KB · Views: 225
  • 1393346518932.jpg
    1393346518932.jpg
    23.8 KB · Views: 231
Bei inazungumzika mkuu xo usiogope saana kwa kuwa eti hujajiandaa
 
Andika kiume...au ww jike nini?..."xo" ndo nini?



Cyo makosa yako ni makosa ya ubongo wa sabb lengo la wewe kuja hapa ni kuangali biashara na cyo kokosoa kwa hiyo fuata kilichokuleta

We unapokosea nan anakuhukumu....
 
Cyo makosa yako ni makosa ya ubongo wa sabb lengo la wewe kuja hapa ni kuangali biashara na cyo kokosoa kwa hiyo fuata kilichokuleta

We unapokosea nan anakuhukumu....

Kubali umekosea mkuu haya maandishi ya xo xaxa kwali hayavumiliki kwa watu wazima labda kama wewe ni under 18
 
Back
Top Bottom