Nauza galaxy note 3 mpya tsh 800000/=

Nauza galaxy note 3 mpya tsh 800000/=

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,298
galaxy note III mpya inapatikana kwa sh laki 8 tu..pata galaxy note 3 kwa bei sawa na bure
contact 0652206863 au ni pm
specifications
http://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_note_3-5665.php
 

Attachments

  • g.jpg
    g.jpg
    5 KB · Views: 175
  • df.jpg
    df.jpg
    11 KB · Views: 173
Haina kwani vipi? Wabongo tuna tabu sana, ulitaka uambiwe laki mbili? Wacha ufisadi kama kitu hukihitaji au unaona bei inakubana basi kausha tu

mbona povu tena?!au wewe ndio mtoa tangazo?pilipili usiyoila wewe yakuwashia nini!loh,au hii account yako nyingine?mana sielewih
 
Tubadilishe name note 2 nikuongezee na laki mbili juu.
 
tuvunje na sumsung galaxy tab 3 7.0 nikupe na laki mbili mkuu...
 
huyu dogo hayupo serious, nimempigia toka asubui tufanye biashara hajanijibu mpaka saa hizi, anatuzingua hapa hakuna biashara!! :A S 112::A S 112:
 
Back
Top Bottom