Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Shoga yako?? Huyo ni mwanaume sio mwanamkeShoga Hongera, sijawahi kula strawberry, nionjeshe😀
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Shoga yako?? Huyo ni mwanaume sio mwanamkeShoga Hongera, sijawahi kula strawberry, nionjeshe😀
Shoga yako?? Huyo ni mwanaume sio mwanamke
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Mkuu huwezi kuamini ndio nimekuja kuamini Leo huyu ni ME nilikua naona anatumia ID ya Mrs Air nikajua ni KE aisee![]()
![]()
![]()
![]()
Hata mimi hii statement imenichanganya kidogo….. Labda wanajuana!
Straw berry ni tamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga yako?? Huyo ni mwanaume sio mwanamke
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Heee hii thread si aliandika mrs air![]()
![]()
![]()
Hata mimi hii statement imenichanganya kidogo….. Labda wanajuana!
Straw berry ni tamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenimix kabisaMkuu huwezi kuamini ndio nimekuja kuamini Leo huyu ni ME nilikua naona anatumia ID ya Mrs Air nikajua ni KE aisee
Elewa hivyo...mtoa mada ni ME sio KEUmenimix kabisa
sasa hivi ni ME sio Mrs tenaHeee hii thread si aliandika mrs air
Mkuu hii biashar bado unaendeleza?Salaam Wakuu,
Mimi ni mkulima wa matunda ya strawberry kutoka Morogoro..
Nauza kuanzia containers 15@4000...kwa bei ya jumla .na 5000kwa bei ya rejareja!ukitoa oda ndo naenda shambani..
Matunda ya strawberry yana faida nyingi sana mwilini
:-Ni NATURAL VIAGRA
:-yanapunguza uono hafifu
:-yanarekebisha kwa kiwango kikubwa sukari na presha mwilini
!:- nzuri kwa mifupa
:-mazuri sn kwa kupunguza mwili
Hayo ni baadhi tu!!
Karibuni sana...
Wasiliana nami kupitia no 0713969633,0685799697
Sku moja ntakutafuta nchukue hta contena mojaipo mkuu,,,
Kwaiyo now amebadilika from K to MEsasa hivi ni ME sio Mrs tena
Aaah mkuu mpotezee kumbe ni KE, kuna mzushi fulani hivi alikuwa anamzushia tu kuwa ni ME lakini kiuhalisia ni KE..Hivyo tuKwaiyo now amebadilika from K to ME
Mkui straberry zpo? Mm nipo dar nikihitaj unaweza nitumia?ipo mkuu,,,
Kafungue uzi wako utangaze ndo wabongo mlvyo mwenzio akiuza vtumbua na ww unaenda uza pemben yake.. Et nasafrsha kwa ndegeeee?Mi naweza kukutumia uliko.... ila mi niko mkoani .... na nitakuwa nasafirisha kwa ndege....
Mimi nitakuuzia kwa kilo moja
Elf 30.
Gharama za usafiri kwa ndege ni juu yangu....
Zitakufikia kwa wakati na ubora sahihi..
Kama uko serious njoo inbox tufanye business...
Nina uwezo wa kutoa zaidi ya kilo 50-100 kwa wiki.
Niko umbali wa km 1000 toka dar.
Karibu.
Miche pia nauza mmoja elfu 3.
Mbegu hauwez kuziotesha.... mi nimefanya hii kazi miaka 7 now ila nimeahindwa kuotesha mbegu.
Sent from "La -Vista"
Unanuna nin hakuna mnunuzi humu..... biashara hata zikifanana kawaida tu la msingi msirogane na muwe na mbinu.....Kafungue uzi wako utangaze ndo wabongo mlvyo mwenzio akiuza vtumbua na ww unaenda uza pemben yake.. Et nasafrsha kwa ndegeeee?