Nauza Forever living products

Nauza Forever living products

Joined
Aug 9, 2012
Posts
47
Reaction score
3
1.Wenye matatizo ya ngozi, nywele, sukari, blood pressure, vidonda vya tumbo, moyo, joint, mifupa, macho, nguvu za kiume, upungufu wa vitamins mwilini n.k
2. Wenye mahitaji ya urembo kiujumla mf:- Lipstick, Perfume, lotion, shampoo, n.k
3.wenye mahitaji ya kupunguza uzito/unene.
4. Bila kusahau upande wa usafi, pata sabuni ya maji ambayo ni 2X CONCENTRATED MULTI PURPOSE DETERGENT:- Unaweza kufulia nguo, kuoshea vyombo, kudekia, kuoshea gar, kusafishia Tiles, kusafishia makapet ya aina yote, kusafishia masink ya bafun na chooni. Na sabuni ambayo ni rafiki wa ngoz kwa hasa wale wenye sensitive skin( na aichubui mikono) na nisabuni yenye marashi mazur sana.
 
hizo products hasa hyo MPD naifahamu saana na pia naitumia..its very economic and effective..lita moja wawez mix madumu mpaka 37 ya lita tano..
 
Me nauza bidhaa za RELIV bei poa kabisa! For more info ni PM


Sent from my iPhone
 
tatizo bei zake sasa ni balaa hizo bidhaa

Ni kweli bei zake zipo juu kidogo ukilinganisha na local products !! Lkn utofauti wake ni mkubwa kwa Quality, Ufanyaji kaz wake ni wauwakika na mzur na pia products zake zipo very economic. Huo ndiyo ukweli wa FOREVER LIVING PRODUCTS na tatizo letu kubwa tunaangalia bei kwanza kuliko ubora na nikiac gani cha pesa unacho save ukitumia FLP. Na kumbuka FLP hazitengenezwi na chemicals za viwandan.
 
Always cheap is expensive!! Mfano nunua dawa ya mswaki bei rahisi then ili ije ikupe side infect ya kujitibu kwa gharama...siyo mbaya ndiyo tulivyo waswahili, some tym uwezo wa kununua hiyo product mtu unakuta anao lkn ni bora aseme hvyo kuwa ni gharama anywe bia na nyama lkn siyo kujali afya yake. That great Forever Living we always share our products with people not convinceing them, its your choice to use it of take ur way...
 
Back
Top Bottom