Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
Kwann?
Unaiuza tena kwa bei ya hasara hvyo
(ukishindwa kujbu co nzuri)
haina tatizo,nimeamua tu kuuza.haijatumika hata kidogo
Kwann?
Unaiuza tena kwa bei ya hasara hvyo
(ukishindwa kujbu co nzuri)
uko wapi Deejay
Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
Sijaelewa aiseee. Mbona bei kubwa sana? Laki 270000 ni sawa na Sh. 27,000,000,000Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
nimekuomba namba mkuu! Chek pm
Sijaelewa aiseee. Mbona bei kubwa sana? Laki 270000 ni sawa na Sh. 27,000,000,000
hiyo komputa ya aina gani? Kwa kiasi hicho bora ninunue Vx mpyaa.
mkuu mm niko arusha naipataje hiyo zaga!
with monitor or only cpu?
sijaelewa aiseee. Mbona bei kubwa sana? Laki 270000 ni sawa na sh. 27,000,000,000
hiyo komputa ya aina gani? Kwa kiasi hicho bora ninunue vx mpyaa.
nilikosea hapo ni 270000
mimi na uhasibu wangu nilikuwa nakucheck tu!!!!!!
Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
Ipo moja au ni nyingi?