Nauza dell computer gx 520 160gb, ram igb kwa laki 270000 tu!!

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,287
Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
 
Dell computer 160gb, ram 1gb kwa laki 270000 tu!! Kama unahitaji hiyo ni pm ili nikupe mawasilano.hata kama upo mikoani nakutumia huko huko!!!
Sijaelewa aiseee. Mbona bei kubwa sana? Laki 270000 ni sawa na Sh. 27,000,000,000
hiyo komputa ya aina gani? Kwa kiasi hicho bora ninunue Vx mpyaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom