Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Habari wana jf nauza gari Daihatsu Terios 1998 ambayo ipo bomba kama inavyoonyesha katika picha bei ni tsh 8500,000/= haina tatizo lolote na haikuwahi kupata ajali kama unahitaji nione 0712-212220
View attachment 78185View attachment 78186View attachment 78187
mkuu kwenye biashara yahitaj uvumilivu,hiyo pesa yako ndogo kanunue bajaji huna uwezo wa kumili gari unajua mungu mewauumba wanaadamu kwa classes so ww hupo ktk class ya kumiliki gari bado na hizo pesa ulizokopa ukinunua bajaji ikikuzingua utajuata!
engine cc 1993 mwaka 1998 na millage ni 83442
Hizi gari sina uhakika kama zinafika cc 1993