Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
asante. MkuuKila la heri
Toa orderAiseee! Wenzako wakidakwa watakuja kumalizia hasira kwako.
Ahaaa Una akili sanaZinafaa sana kwa ajili ya kuwadakisha traffic huko barabarani.😁
Lete jumapili ijayo leo sijaenda kuchukua mafuta ya upako.Toa order
Mafiuta ya nini?Lete jumapili ijayo leo sijaenda kuchukua mafuta ya upako.
Ukija utaijua kazi yake.Mafiuta ya nini?
Kwa niniSahivi tutaanza kuwaogopa sasa wavaa miwani..
Mtu aliyekusudia kufanya yake atatumia mbinu yeyote.Sahivi tutaanza kuwaogopa sasa wavaa miwani..
SawaJamaa wa russia ameku-motivate 😂
Wanawake wote wana kile kiumalaya wa kiasili
Si umesema wanawake wote .mkuu unapanic nini hapo umepewa ufafanuzi tuNdio.
Na mama ako na ww pia mana wote Nyie n wanawake.
Yn ukiwa na mama ako n sawa na kusema malaya wawili wamekutana
Wapi nmepanic?Si umesema wanawake wote .mkuu unapanic nini hapo umepewa ufafanuzi tu