Nauza Bucha la Samaki

Nauza Bucha la Samaki

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Kama Kichwa hapo juu kinavyo jieleza.. Nauza Bucha ya samaki iliyo kamilikia, ina frizeer ft 4, Meza 3, radio, mzani wa digital na vifaa vyote vinavyo vinavyohitajika kwenye Bucha ya samaki.. Bucha lipo Dodoma.. Kwa Mtu yeyote mwenye uhitaji anicheck DM kwa maelezo zaidi...
 
watu wanakula sambusa za mandondo siku hizi.... hahahahahah (jokes)
 
Malizia kila kitu kwani biashara ni tangazo lililoshiba,
Weka bei kama ni sehemu ya kukodi kwa mwezi ngapi? Na unataka ngapi pia bila kusahau eneo na picha muhimu zaidi
 
Kama Kichwa hapo juu kinavyo jieleza.. Nauza Bucha ya samaki iliyo kamilikia, ina frizeer ft 4, Meza 3, radio, mzani wa digital na vifaa vyote vinavyo vinavyohitajika kwenye Bucha ya samaki.. Bucha lipo Dodoma.. Kwa Mtu yeyote mwenye uhitaji anicheck DM kwa maelezo zaidi...
Bei?
 
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu natangaza hii Biashara kwa Mara ya pili;
Nauza Bucha langu la Samaki lipo Dodoma.. Ndani limekamilika lina kila kitu kinachohitajika kwenye Bucha la Samaki, kama freezer, mzani wa digital n.k.. Kwa mwenye huitaji na Biashara hii anicheck PM.. Nimeamua kufanya hivi kwa sababu natarajia kuhamishwa kikazi hivi Karibuni...
 
Bei baba ,,,ndio maana umeshindwa kuliendeshaaaa
Milion 2.5 ila bei inaongeleka
IMG_20171105_113842.jpg
 
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu natangaza hii Biashara kwa Mara ya pili;
Nauza Bucha langu la Samaki lipo Dodoma.. Ndani limekamilika lina kila kitu kinachohitajika kwenye Bucha la Samaki, kama freezer, mzani wa digital n.k.. Kwa mwenye huitaji na Biashara hii anicheck PM.. Nimeamua kufanya hivi kwa sababu natarajia kuhamishwa kikazi hivi Karibuni...

Mzani peke yake kiasi gani.
 
in short unauza mzani na hilo deep freezer maana hicho chumba cha kawaida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom