Nauza BMW Z3 Jamani, bei poa kabisa

Nauza BMW Z3 Jamani, bei poa kabisa

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,715
Reaction score
32,494
Waungwana natumai mko poa na wiki imeanza vizuri. Nauza gari tajwa hapo juu kwa bei ya kitanzania rahisi kabisa shilingi milioni saba.

Sababu za kuuza ni kuwa hii gari imekaa tu haitumiki, mimi sipo Dar na hakuna wa kuitumia, sasa ni bora kuiuza.

Kwa atakaye vutiwa nayo hebu twende pm.......
 
Attachments

  • 20140530_150230.jpg
    20140530_150230.jpg
    545.3 KB · Views: 823
  • 20140530_150256.jpg
    20140530_150256.jpg
    550.1 KB · Views: 696
  • 20140530_150351.jpg
    20140530_150351.jpg
    476.6 KB · Views: 668
  • 20140530_150315.jpg
    20140530_150315.jpg
    434.4 KB · Views: 672
Waungwana natumai mko poa na wiki imeanza vizuri. Nauza gari tajwa hapo juu kwa bei ya kitanzania rahisi kabisa shilingi milioni saba.

Sababu za kuuza ni kuwa hii gari imekaa tu haitumiki, mimi sipo Dar na hakuna wa kuitumia, sasa ni bora kuiuza.

Kwa atakaye vutiwa nayo hebu twende pm.......

Weka bei wataalam watusaidie kutathmini, si unajua mashikolo mageni
 
unekaa nayo muda gani, nauliza kujua upatijanaji wa parts for spare
 
Si wanasemaga hizi ni gari za kifahari, sasa haka kana ufahari gani mbali na jina!? ...au ka watoto! Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom