cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,699
[emoji23][emoji23][emoji23]wakomeshe hao nunua na jiko la umeme na pressure cooker unapikia humo makande au maharage maana kupanga na uonewe umeme mwingi hvoAsante nimeipata inapiga kazi vizuri wali dk 15 tu umeiva..ngoja nianze kuchemshia makande niende sawa na wapangaji unit zangu ziende kihalali..
Ugali c unapikia humu
View attachment 1621307