Nauza Biashara Yangu - Stationery & Video Library

Nauza Biashara Yangu - Stationery & Video Library

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
Nauza business yangu ya Stationery na Video library kwa pamoja (ziko two in one). Value (thamani) ya biashara ni milioni 7 including bidhaa, mashine, computer, printers, scanner, TV screen, meza/kabati ya aluminium n.k. Maelewano yapo pia. Eneo la biashara ni zuri, Mabibo karibu na shule. Sababu ya kuuza ni kwamba nitakuwa shule hivyo usimamizi siwezi kumudu tena. Picha ya duka imeambatanishwa.... Yaani nakuuzia unaendelea na biashara saa hiyohiyo ukitaka.

Mawasiliano 0758397557, 0718174415.
 

Attachments

  • New Picture (2).jpg
    New Picture (2).jpg
    104.2 KB · Views: 1,428
Nauza business yangu ya Stationery na Video library kwa saa hiyohiyo ukitaka.

Mawasiliano 0758397557, 0718174415.
kodi inaisha lini na ni bei gan kwa mwezi?

ni mabibo ipi ya kule uswahilini au ya huku kwenye vihosteri uchwara vya UDSM?
 
Mabibo Loyola, mwezi wa 12, 70,000 GOOGLE
 
Last edited by a moderator:
I can pay you that money ila nauliza uko na vitabu vyote vya biashara/ books of record???? For the last 12month??????
 
Mie ntanunua na hko kichwa cha huyo mdada nkikutee mkuuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom