Nauza biashara yangu saloon for 1.3 mil

Nauza biashara yangu saloon for 1.3 mil

Habarini wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Thamani ya vitu vilivyomo inajumuisha viti viwili in good condition, kabati za pembeni 2 za aluminium, vioo vikubwa viwili vya vilivyokuwa framed na aluminium,sterilizer,shampoo chair complete, startimes kingamuzi, 17 inch TV but condition sio kivile, bango lenye taa ndani 2 ft kama utataka na mwezi mmoja na nusu wa operation then miezi ifuatayo utalipia mwenyewe.

Eneo lipo fully completed na rangi mpya na panependeza kiukweli. kama una ndoto za kufungua barbershop ii nafasi ni yako.

Eneo la niashara ni very marketable.
ni fursa kwa wakazi wa Dodoma au kama unapenda operation za salon.
changamkia fursa.

Mmiliki ni mimi mwenyewe.
Je bei inapungua? ni PM au nicheki kwa namba 0655784688
Unaanza vizuuuri, bank dosona limeharibu kabisa. Nilifikiri dasilaaam
 
Pamefungwa tu mkuu hakuna ata mtu mmoja aliekuja kupathaminisha.magufuli kashililia uchumi kweli nimeamini..

mi mkuu ukinipa dodoso la mapato roughly kwa mwez naweza nikatuma mtu aje kuchek mazingira tufanye biashara,coz currently niko very far ila nina jamaa zangu wanaoweza kuja kuja kuchek na tukafanya hiyo biashara
 
mi mkuu ukinipa dodoso la mapato roughly kwa mwez naweza nikatuma mtu aje kuchek mazingira tufanye biashara,coz currently niko very far ila nina jamaa zangu wanaoweza kuja kuja kuchek na tukafanya hiyo biashara

Kijana wangu alikua ananipa 50 kwa week bila tatizo lolote.akikwama sana amenipa 45..hii deal ni zaid ya kununua boda boda..
 
Back
Top Bottom