manka1 Member Joined Nov 4, 2014 Posts 13 Reaction score 25 May 8, 2024 #1 Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,924 Reaction score 36,852 May 8, 2024 #2 Weka ata picha
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,289 May 8, 2024 #3 Picha iko wapii?
Fafunjo Member Joined Apr 11, 2013 Posts 5 Reaction score 4 May 8, 2024 #4 manka1 said: Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo Click to expand... Naomba msaada wa maelekezo maana nimekuona NI mfugaji mbobezi bata wangu hawatagi shida huwa ni nn hasa
manka1 said: Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo Click to expand... Naomba msaada wa maelekezo maana nimekuona NI mfugaji mbobezi bata wangu hawatagi shida huwa ni nn hasa
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,921 Reaction score 104,220 May 8, 2024 #5 Hivi na bata wa kisasa washaingia kama haya makuku amadori?
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 May 9, 2024 #6 makaveli10 said: Hivi na bata wa kisasa washaingia kama haya makuku amadori? Click to expand... Wapo wengi sana. Malad, bukini, chainese/african gees, na wengineo.
makaveli10 said: Hivi na bata wa kisasa washaingia kama haya makuku amadori? Click to expand... Wapo wengi sana. Malad, bukini, chainese/african gees, na wengineo.
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 May 9, 2024 #7 Fafunjo said: Naomba msaada wa maelekezo maana nimekuona NI mfugaji mbobezi bata wangu hawatagi shida huwa ni nn hasa Click to expand... Unawalisha chakula gani?
Fafunjo said: Naomba msaada wa maelekezo maana nimekuona NI mfugaji mbobezi bata wangu hawatagi shida huwa ni nn hasa Click to expand... Unawalisha chakula gani?
Nchiyanguu JF-Expert Member Joined Sep 3, 2021 Posts 319 Reaction score 619 May 9, 2024 #8 MUBENDE said: Unawalisha chakula gani? Click to expand... Mkuu una link ya group la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa?
MUBENDE said: Unawalisha chakula gani? Click to expand... Mkuu una link ya group la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa?
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,881 Reaction score 2,316 May 9, 2024 #9 Bata kwa nn hawachangamki kisoko kama kuku??!!
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,557 Reaction score 44,332 May 9, 2024 #10 HOPEfull said: Bata kwa nn hawachangamki kisoko kama kuku??!! Click to expand... Kuku ni mtam kuliko bata.
HOPEfull said: Bata kwa nn hawachangamki kisoko kama kuku??!! Click to expand... Kuku ni mtam kuliko bata.
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 May 9, 2024 #11 Nchiyanguu said: Mkuu una link ya group la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa? Click to expand... Naomba nitafute 0713544411
Nchiyanguu said: Mkuu una link ya group la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa? Click to expand... Naomba nitafute 0713544411
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,921 Reaction score 104,220 May 9, 2024 #12 MUBENDE said: Wapo wengi sana. Malad, bukini, chainese/african gees, na wengineo. Click to expand... Aaahh....!!!! Kwahiyo Hao ni wa Viwandani, kama hawa kuku wa kizungu? Sijawahi kujua hili, nao wanakuwa ndani ya siku ngapi tayari kuliwa?
MUBENDE said: Wapo wengi sana. Malad, bukini, chainese/african gees, na wengineo. Click to expand... Aaahh....!!!! Kwahiyo Hao ni wa Viwandani, kama hawa kuku wa kizungu? Sijawahi kujua hili, nao wanakuwa ndani ya siku ngapi tayari kuliwa?