Habari zenu,
Nauza bajaji ipo mbeya mjini, iko katika hari nzuri haidaiwi na mtu wala mamlaka yoyote.
Sababu ya kuiuza ni usumbufu ninaopata unaotokana na madereva wenyewe niliowapa kazi ya kuendesha na kuniletea hela.
Mtu yoyote anayehitaji bajaji anaweza kuja mwenyewe au na fundi wake wakaicheki bajaji, nauza bei ya hasara tu Tsh.2,900,000/- maelewano yapo kwa mtu atakaye kuwa anahitaji.
Mawasiliano
Unaweza ukaniPM au ukanicheki kwa email. akilimbili2018@gmail.com
KARIBUNI SANA MCHUKUWE BAJAJI HII