Nauza baiskeli

Potelea mbali mi nitanunua basikeli, milango, mwenye basikeli na chura wake... vyote! sh ngapi?...
 
Nataka kuikodi inifikishe tu nitakapo basi, naachia wengine.

Ivi nikitaka kuweka mzigo mbele inakuwaje mbona hapaeleweki? Naona pamependelewa nyuma tu.

Anywei, bora nifike vyote ntaweka nyuma, usije sema mteja ana gubu bure!
 
Tena hii baiskeli inaitwa Shang sheng...anakuja mbio kwelikweli,anashangangiliwa na umate wa watu
 
Nahitaji baiskeli na nitamkodisha huyu mwenye baiskeli ! Naomba jumla yangu
 
Nitanunua lakini nahitaji uje nyumbani kunifundisha kuipanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…