Nauza asali kwa Bei nafuu sana

Nauza asali kwa Bei nafuu sana

dancher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
205
Reaction score
243
Ndugu Wana jamvi nikiwa Kama kijana nimeanzisha biashara yangu ya uuzaji asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo na inapatikana kwa ujazo wowote utakao hitaji kuanzia nusu litre na kuendelea na Bei yake ni nafuu Sana Kama wanajamii wenzangu naombeni uungwaji mkono wenu ili kufikia adhma yangu, asali ninaivuna mwenyewe kupitia mizinga yangu ikiwa unahitaji au una fahamu makampuni au maofisi yanayo hitaji naomba uwasiliane nami kupitia simu no 0762111630 napatikana Dar es salaam maeneo ya keko. Aksanteni
 
Mkuu nenda mtaa wa livingstone na udoe ulizia arafat hotel na umuone muhusika unaweza kupata soko
 
Ndugu Wana jamvi nikiwa Kama kijana nimeanzisha biashara yangu ya uuzaji asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo na inapatikana kwa ujazo wowote utakao hitaji kuanzia nusu litre na kuendelea na Bei yake ni nafuu Sana Kama wanajamii wenzangu naombeni uungwaji mkono wenu ili kufikia adhma yangu, asali ninaivuna mwenyewe kupitia mizinga yangu ikiwa unahitaji au una fahamu makampuni au maofisi yanayo hitaji naomba uwasiliane nami kupitia simu no 0762111630 napatikana Dar es salaam maeneo ya keko. Aksanteni
Kweli bei yako nafuu sana, ungekuwa unapatikana karibu ningekuona nataka Liter kama 20 hivi.
 
Je una yale matoto ya nyuki yanayokuwa kwenye masega ya Nyuki? Kama unayo unayauza kwa bei gani?
 
Mkuu, why mikoani asali mbichi
bei chipa sana, ya nyuki wakubwa...5 litres for 35000 only! Au yakwako ina kitu cha ziada...
 
Back
Top Bottom